Men and Healing
Men The Podcast7 Dec 2023

Men and Healing

Katika “episode” yetu ya leo, wanaume wawili wameketi na kuulizana, kweli kuna mwanaume aliyepona? “A healed man”? Tunaposema “A healed man” au mwanaume aliyepona, hapa tuna maanisha mwanaume ambaye amechukua muda wake kujitambua na kujua mapungufu yake, historia yake, sababu ya kwanini yupo jinsi alivyo, amejifunza kutokana na makosa yake, na pia yupo katika mapambano ya kumfanya awe mwanaume bora zaidi siku za usoni.

Kwa mujibu wa mgeni wetu wa leo, ndugu Leslie Omwenga, anasema hakuna kitu kama hicho. Hakuna kitu kama “A healed man”, na sababu kuu ya yeye kusema hivyo ni kwamba anaamini kila mwanaume ana kazi ya kuendelea kupambania afya yake ya akili mpaka siku ya mwisho, hivyo kwake kuna “A healing man”. Au mwanaume anayepona. Huyu ni mwanaume ambaye kila siku anataka kuendelea kuwa bora, na anatakiwa afanye hivi mpaka siku ya mwisho ya uhai wake.

Leslie pamoja na Michael Baruti wanajadili swala hili kiundani, huku kila mmoja akichangia kwenye hili kutokana na uzoefu wake pamoja na ufahamu wake kuhusu mchakato mzima wa kumfanya mwanaume kuwa bora. Hakuna kitu ambacho hakikuguswa hapa, kuanzia malezi, mahusiano, swala zima la kipato, pamoja na swala zima la kumpeleka mwenzi wako ukweni kwake 😂😂.

Karibu katika episode ya leo.

Avsnitt(111)

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

In this powerful live episode of Men Men Men, recorded in Monduli before an audience of over 200 people, we confront one of the most sensitive and deeply rooted issues in our communities: Female Genit...

18 Mars 47min

Uwanaume Wa Kweli Ni Maamuzi

Uwanaume Wa Kweli Ni Maamuzi

In this special live edition of Men Men Men – The Podcast, hosted by Michael Baruti and Nadia Ahmed, a powerful community conversation unfolds from Mnazi Mmoja Grounds in Zanzibar, bringing together h...

17 Feb 47min

Ni Majaribu Tu, Maisha Lazima Yaendelee

Ni Majaribu Tu, Maisha Lazima Yaendelee

Life works in strange ways. Sometimes adversity doesn’t just test us, it completely reshapes how we see ourselves, our purpose, and what’s possible.In this episode, we sit down with Hussein Ally Husse...

3 Feb 1h 42min

2026: We Are Doing Better

2026: We Are Doing Better

We are baaaaaack and Happy New Year, 2026 The first episode of the year is finally here.This latest episode of MenMenMen The Podcast serves as both a curtain-raiser for 2026 and a moment of reflection...

15 Jan 55min

Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani

Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani

Why does it matter for a man to feel valued and why does that validation seem to define so much of his identity?In today’s world, the demands on men are relentless. Society expects them to provide, to...

21 Okt 20251h 2min

Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?

Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?

One of the hardest things for anyone in the world is having the will, means, and ability to fight addiction, especially when that addiction seems to complement the lifestyle you’ve chosen, and society...

7 Okt 20251h 35min

Mimi Nilivyo, Natosha

Mimi Nilivyo, Natosha

In this episode of Men Men Men – The Podcast, we sit down with mental health expert and counselor Deo Sukambi to discuss key challenges facing men today, including trauma bonding, identity crises, and...

29 Juli 20251h 39min

Bado Najifunza

Bado Najifunza

He was the voice that woke us up, kept us company, and helped shape the golden era of Tanzanian radio. A legend on the mic and a mentor off it . This is the story of Jimmy Kabwe.In this special extend...

15 Juli 20252h 45min

Populärt inom Hälsa

somna-med-henrik
rss-bara-en-till-om-missbruk-medberoende-2
inga-beiga-morsor
rss-jossan-nina
alska-oss
rss-vuxna-pa-latsas
not-fanny-anymore
sexnoveller-deluxe
johannes-hansen-podcast
angestpodden
sova-med-dan-horning
rss-viktmedicinpodden
vinterpasset
sa-in-i-sjalen
brottarbroder
sag-det-bara
rss-basta-livet
tyngre-radio
rss-sjalsligt-avkladd
rss-the-house-podcast-3