JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako

JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako

Kwenye episode hii ya Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kusimama tena na kuwa wewe kikamilifu, kuusikiliza ule msukumo ulio ndani yako, ule msukumo wa kujikubali na kuusimamia ukweli wako. Simama, uusimamie, hata kama ikikubidi kufanya hivyo peke yako, sawa!! Ikikubidi kutembea peke yako huku ukiamini huo ni ukweli wako na unafanya hivyo kwa upendo ni jambo zuri na la heri kuliko kufuata mkumbo.

Tämä jakso on lisätty Podme-palveluun avoimen RSS-syötteen kautta eikä se ole Podmen omaa tuotantoa. Siksi jakso saattaa sisältää mainontaa.

Jaksot(14)

JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako

JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako

Katika Episode hii Stephen Kaaya amegusia kuhusu kuurudisha uwezo wako wa kuamua cha kufanya kwako, hasa pale unapo kuwa katika tukio ambalo ni la ghafla na hukulitaka. Itakua vyema sana ukichukulia m...

19 Huhti 202111min

JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi

JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi

Hauitaji kujua kila kinacho endelea ili kuwa na amani ya kufanya maamuzi. Hauto weza kujua story nzima kuhusu mazingira yanayo kuzunguka au mtu, hata kama akikwambia mwenyewe. Fanya kwa uwezo wako kwa...

4 Maalis 202115min

JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo

JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo

Karibu kwenye episode nyingine ya Juma Jipya Edition ambapo Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kutuliza moyo kwa kukumbuka wewe ni binadamu na kupunguza mwendo. Tunapo hisi kama kuna uzito ndani, k...

4 Maalis 202114min

JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021

JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021

Katika episode hii ya Juma Jipya edition  Stephen kaaya amejaribu kuku kumbusha kuwa katika kila mipango tuliyo jiwekea ili tuikamilishe mwaka huu wa 2021 ni muhimu kuwa na misingi imara ambayo ni kwa...

1 Maalis 202112min

TRAILER

TRAILER

Kwenye episode hii utakua na Stephen Kaaya akikuelezea kuhusu Kizazi Kipya Podcast kwanzia mwanzilishi na mtayarishaji wake, hadithi ya maisha yake kwa ufupi na nini kilimpelekea kuanzisha KKP, pia na...

1 Maalis 202111min

JUMA JIPYA: 2020, Niliyo jifunza.

JUMA JIPYA: 2020, Niliyo jifunza.

Katika Juma Jipya Edition hii ambayo ni kama episode maalum Stephen Kaaya amejaribu kuongelea mambo matano ambayo amejifunza hadi sasa katika mwaka 2020.Mambo hayo ni:-1. Siyo kuhusu unacho sema kuwa ...

14 Joulu 202025min

JUMA JIPYA: Umuhimu wa mabadiliko katika maisha.

JUMA JIPYA: Umuhimu wa mabadiliko katika maisha.

26 Loka 202020min

Suosittua kategoriassa Tiede

rss-mita-tulisi-tietaa
tiedekulma-podcast
filocast-filosofian-perusteet
rss-ammamafia
docemilia
rss-poliisin-mieli
hippokrateen-vastaanotolla
rss-bios-podcast
rss-duodecim-lehti
rss-tiedetta-vai-tarinaa
rss-lihavuudesta-podcast