Kizazi Kipya Podcast
Hii ni kwa wale wanao uishi ukweli ulio ndani yao. Wanaopitia mchakato wa kupona na kukua kwa namna ambayo ni sahihi na ya kipekee kwao. Kwa walio anza kutambua na kupunguza vikwazo vilivyo kuwapo toka vizazi na vizazi. Walio amua kujikubali na kuwa wao kikamilifu kwa jinsi walivyo .Wanao amini katika kuweka mipaka, kujiweka wa kwanza na kwamba uhalisia ni tofauti kwa kila mmoja wetu. Hawa ni kizazi kipya na hii podcast ni kwa ajili yao.

Tämä podcast on lisätty Podme-palveluun avoimen RSS-syötteen kautta eikä se ole Podmen omaa tuotantoa. Siksi podcastin jaksot saattavat sisältää mainontaa.

Jaksot(14)

JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.

JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.

Katika episode hii ya Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast nimejaribu kukukumbusha kuhusiana na kufanya kwa wengine; kuonyesha upendo, kuhurumia na kusaidia pia. Ila ili tufanye kwa wengine bila...

12 Loka 202017min

JUMA JIPYA: Msukumo wa kupiga hatua na kusonga mbele.

JUMA JIPYA: Msukumo wa kupiga hatua na kusonga mbele.

Kwenye hii episode ya kizazi kipya podcast juma jipya edition, nimejaribu kugusia kuhusiana na kupiga hatua na kusonga mbele katika kujikubali jinsi tulivyo na katika kufanya mambo mengine pia. Tutapo...

28 Syys 202038min

JUMA JIPYA: Moyo wa kujichagua wewe kwanza.

JUMA JIPYA: Moyo wa kujichagua wewe kwanza.

Katika episode hii ya Juma Jipya Edition Stephen Kaaya ame jaribu kukukumbusha kujichagua wewe kwanza, na ni kwa kuanza kutengeneza maana ya mambo mbali mbali yanayoendelea mashani mwetu ili pale tuta...

14 Syys 202023min

JUMA JIPYA: Haupo peke yako

JUMA JIPYA: Haupo peke yako

Kwenye hii episode ya Juma Jipya Edition Stephen amejaribu kukukumbusha kuwa kila wakati ni wakati sahihi wa kukua na kupiga hatua, kila wakati ni wakati mpya na ni kurasa mpya ya maisha. Sisi sote ha...

7 Syys 202018min

Juma Jipya: Wewe ni Toleo Jipya Kila Siku.

Juma Jipya: Wewe ni Toleo Jipya Kila Siku.

Kwenye hii episode ya Juma Jipya edition, nimejaribu kuku kumbusha kuwa wewe wa kipindi cha nyuma ni tofauti na wewe wa leo na kwamba wewe ni toleo jipya kila siku. Na hii inatokana na kwamba unajifun...

31 Elo 202028min

JUMA JIPYA: Wewe ni Expert.

JUMA JIPYA: Wewe ni Expert.

Karibu sana kwenye Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast na mtayarishaji ni Stephen Kaaya. Kwenye hii episode nakukumbusha kuwa wewe ni expert simply because umevuka mengi na umepita kwingi. Kwa ...

24 Elo 202027min

Suosittua kategoriassa Tiede

tiedekulma-podcast
rss-mita-tulisi-tietaa
rss-poliisin-mieli
filocast-filosofian-perusteet
docemilia
rss-duodecim-lehti
rss-ammamafia
rss-bios-podcast
rss-astetta-parempi-elama-podcast
rss-tiedetta-vai-tarinaa
rss-lihavuudesta-podcast
rss-totuuden-liepeilla