100 Episodes later, Bado Tunapambana
Men The Podcast23 Apr 2025

100 Episodes later, Bado Tunapambana

Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzisha mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume.


Hawakujua kama kuna mtu atawasikiliza. Hawakujua kama kuna yeyote atajali kuhusu maongezi haya. Lakini leo hii, baada ya miaka mitano na episodes 100, imekuwa wazi kuwa podcast hii imekuwa zaidi ya wao wawili. Imebeba sauti za uchungu, ushindi, maswali magumu, na ukweli ambao mara nyingi husalia kimya.


Katika episode hii ya kipekee, Michael na Nadia wanarudi walipoanzia – si kwa kurudia, bali kwa kutafakari. Wanazungumza kwa uhalisia kuhusu safari yao, changamoto walizokumbana nazo, na yale ambayo bado ni vita ambayo wanapigana nayo hadi leo.


Wanajiuliza: Je, bado wana kiu ya mabadiliko kama siku ya kwanza? Je, bado wanaamini kuwa mazungumzo haya ni muhimu katika jamii?


Jibu lao ni NDIO. Na kama wewe pia bado unaamini hivyo, basi episode hii ni kwa ajili yako pia.


Episoder(111)

Modernity, Modern Man & Relationships

Modernity, Modern Man & Relationships

Get ready for an unfiltered, dynamic conversation about relationships from a man's perspective! Join us as a group of brothers come together to share raw insights, powerful truths, and fresh perspecti...

23 Apr 20241h 24min

Against all odds

Against all odds

This is the Allan Lucky’s story of how he went against all odds to become the man he is today. Born in Songea, to a christian Family, Allan describes his early life as being constrained in the triang...

2 Apr 20241h 45min

Luck, Preparations & Opportunities

Luck, Preparations & Opportunities

In this captivating episode, join us as we sit down with Hisia, a remarkable individual whose journey from humble beginnings in Arusha to musical acclaim and entrepreneurial success in Dar es Salaam i...

19 Mar 20241h 22min

Letting It Go

Letting It Go

Embark on a riveting journey with Gosby, a rising star from the vibrant streets of Namanga, Oysterbay, and block 41. Blessed with multifaceted talents in singing and rapping, Gosby's path to stardom s...

5 Mar 20241h 18min

Picking the right partner

Picking the right partner

In a world where relationships are about as stable as a house of cards in a windstorm, and divorce rates are soaring faster than Elon Musk's rockets, is there any hope left for men to navigate the sto...

21 Feb 202450min

Living with the choices we make

Living with the choices we make

Happy New Year, fabulous listeners! Guess who's back to kick off 2024 with a bang? That's right, it's your favorite podcast, and we've got an episode that's more thrilling than a rollercoaster ride wi...

1 Feb 202458min

Men and Healing

Men and Healing

Katika “episode” yetu ya leo, wanaume wawili wameketi na kuulizana, kweli kuna mwanaume aliyepona? “A healed man”?  Tunaposema “A healed man” au mwanaume aliyepona, hapa tuna maanisha mwanaume ambaye ...

7 Des 20231h 42min

Raising a Neurodiverse Child

Raising a Neurodiverse Child

Mganga hajigangi ni msemo unaofahamika sana na wengi wetu, na wengi tunautumia pale tunapoona inafaa, ila kwa siku ya leo, ni kweli MGANGA HAJIGANGI. Dr Isaac Maro ni daktari maarufu hapa Tanzania, n...

23 Nov 20231h 3min

Populært innen Helse

fastlegen
lydartikler-fra-aftenposten
rss-gukild-johaug
hvordan-har-du-det-mann
psykodrama
relasjonspodden-med-dora-thorhallsdottir-kjersti-idem
leger-om-livet
rss-garne-damer
foreldreradet
morten-ramm-lar-kakla-ga-til-du-sovner
bak-fasaden-en-reise-i-livet-med-sykepleier-ine
rss-lopedrommen
hormonelle-frida
rss-sunn-okonomi
klimaks
hjernesterk
g-punktet
helsetipspodden
sinnsyn
rss-kunsten-a-leve