Tanzania Adapts: Suluhisho mabadiliko ya tabia ya nchi.
Tanzania Adapts29 Mars 2023

Tanzania Adapts: Suluhisho mabadiliko ya tabia ya nchi.

Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na Mkurugenzi Mkazi wa shirika la WWF kwa Tanzania Dr. Amani Ngusaru kujadili changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi na suluhisho mbalimbali za kitaifa na kimataifa kukabiliana na mabadiliko hayo.

In this Episode Marygoreth Richard seats with Dr. Amani Ngusaru WWF Country Director - Tanzania to discuss Climate change solutions both local and International.

Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Det här avsnittet är hämtat från ett öppet RSS-flöde och publiceras inte av Podme. Det kan innehålla reklam.

Avsnitt(18)

Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.

Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.

In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consort...

21 Juni 202325min

Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tab...

26 Maj 202323min

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

“Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa...

11 Maj 202315min

Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

28 Apr 202327min

Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato...

14 Apr 202321min

Tanzania Adapts: Upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Tanzania Adapts: Upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Kwenye episode hii nimezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi. Janeth Mayanja tukijadili juu ya upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo katika wilaya yake anaha...

8 Mars 202315min

Tanzania Adapts:Kukabiliana na ukatili unaosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Tanzania Adapts:Kukabiliana na ukatili unaosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Leo kwenye Podcast hii Marygoreth Richard anazungumza na Bi. Rose Mnjilo ambaye ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Wato...

17 Feb 202328min

Populärt inom Utbildning

historiepodden-se
rss-bara-en-till-om-missbruk-medberoende-2
det-skaver
nu-blir-det-historia
harrisons-dramatiska-historia
not-fanny-anymore
allt-du-velat-veta
roda-vita-rosen
johannes-hansen-podcast
rss-viktmedicinpodden
sa-in-i-sjalen
rikatillsammans-om-privatekonomi-rikedom-i-livet
rss-max-tant-med-max-villman
sektledare
i-vantan-pa-katastrofen
rss-autismandan
rss-basta-livet
rss-traningsklubben
psykologsnack
rss-okrystat