
Embracing The Legacy, Creating My Own Path
“Walking in the shadow of a giant” si jambo rahisi—na inakuwa ngumu zaidi pale “Giant” huyo akiwa ni Augustine Mahiga, mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, na wewe ni mtoto wake wa kiume, unayejuli...
6 Maj 20251h 41min

100 Episodes later, Bado Tunapambana
Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzish...
23 Apr 202559min

Kamari ni stress
Katika jamii inayomtazama mwanaume kama mhimili wa familia na mtafutaji mkuu wa riziki, changamoto za kiuchumi zimewasukuma wengi kutafuta njia mbadala za kujikimu. Moja ya njia hizo ni kamari.Lakini ...
9 Apr 20251h 37min

Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?
Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani? 😬Kuna hii dhana kwamba mwanaume asiye na pesa nyingi hana haki kwenye talaka, eti unapata tu "pole kaka" ...
25 Mars 20251h 37min

Mwanaume!! Vunja dhima potofu, saidia usawa wa kijinsia
Je, nini kinaweza kutokea kwa jamii ya Watanzania wote ikiwa wanaume wataamua kushikamana na kuungana ili kuvunja dhana potofu zinazochochea unyanyasaji wa kijinsia?Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake...
11 Mars 202546min

Usilalamike, Furahia Mchakato
Dr. Lwidiko Mhamilawa ameibuka kwenye studio zetu siyo kwa ajili ya kutuambia jinsi maisha ni magumu (tulishajua hiyo), bali kutufundisha jinsi ya kufurahia safari ya maisha – hata pale unapotaka kutu...
3 Dec 20241h 43min

Kuwa baba: Changamoto na Baraka
Sadick Ali ni mchekeshaji, muigizaji, mfanyabiashara... na zaidi ya yote—ni baba. Sasa, kama wanaume wengi duniani, wazo la kuwa baba kwa mara ya kwanza lilimjia kama mshangao wa mitihani ya darasa la...
19 Nov 20241h 43min

Nafsi Yangu Ina Amani
Nafsi Yangu Ina Amani Katika dunia ambayo inashangalia ukamilifu wa mwanaume, dunia ambayo bado haiko tayari kuzungumzia kwa kina juu ya afya ya akili ya mwanaume, dunia ambayo mwanaume anayepitia ch...
6 Aug 20241h 48min



















