
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Send us Fan Mail Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki w...
27 Okt 20241h 20min

Furaha yako ni Jukumu Lako
Send us Fan Mail Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhi...
20 Okt 20241h 10min

Leave Room For Magic
Send us Fan Mail Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia? Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very #specialepisode. Don...
1 Juli 20241h 24min

The Silent Loud One
Send us Fan Mail Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidi...
1 Juli 20241h 10min

The Godfather of Comedy
Send us Fan Mail Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise. Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his perso...
5 Maj 20241h 54min

Oxygen is Free
Send us Fan Mail The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mba...
28 Apr 20241h 19min

Maisha na Sauti Ya Guitar
Send us Fan Mail Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industry Leo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania...
14 Apr 20241h

Bobby West Goes to Town
Send us Fan Mail When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotu...
13 Apr 20241h 21min



















