Jali afya yako ya akili
Men The Podcast19 Loka 2023

Jali afya yako ya akili

Mwezi wa kumi huwa ni mwezi maalumu kwa ajili ya kufanya kampeni inayokuza na kueneza uelewa kuhusu afya ya akili (Mental Health Awareness month). Na dhima kubwa ya mwaka huu inasema “Afya ya akili ni haki ya binadamu kwa wote


Kwa kujua umuhimu wa siku hii na namna gani swala zima la afya ya akili linavyohitaji mjadala mpana nchini Tanzania, Michael na Nadia wameketi chini na kuichambua safari nzima ya afya ya akili hapa nchini Tanzania.


Tunakubaliana na ukweli kwamba kuna hatua zimepigwa kwenye kuhakikisha misaada na ufahamu wa afya ya akili unaongezeka katika jamii, ila lazima tuwe wakweli kwamba bado pengo pia linaonekana.


Mazungumzo ya leo yanatulezea namna ya kugundua changamoto za afya ya akili, umuhimu wa kutafuta msaada, msaada unapopatikana lakini pia, kama hauwezi kumudu gharama za wataalamu, ni nini ambacho unaweza kiufanya mwenyewe ili uweze kujiokoa?


Mazungumzo yote ya leo yamefanyika yakiwa na lengo moja tu, kukufanya uanze kujali afya yako ya akili. Na ndiyo maana kipindi cha leo kinaitwa “Jali afya yako ya akili”

Jaksot(111)

Only Way Up

Only Way Up

Kutana Babuu wa Kitaa, Super Star, mkali kutoka King’oko, mwana hiphop, na mtangazaji kutoka moja kati ya vyombo vikubwa sana vya habari hapa nchini Tanzania. Kwa macho ya nje, Babuu ni kijana anayei...

2 Marras 20231h 20min

Baba na mtoto wa kiume

Baba na mtoto wa kiume

Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78. Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kap...

5 Loka 20231h 11min

Re-Examining Male Vulnerability

Re-Examining Male Vulnerability

Join us for a thought-provoking episode as we delve deep into the complex realm of vulnerability and its implications for men. In a world that increasingly champions open conversations about men's men...

17 Elo 20231h 18min

Conscious Uncoupling & Co-Parenting

Conscious Uncoupling & Co-Parenting

Join us on this week's episode of the podcast as we delve into the concept of "Consciously Uncoupling" - what it truly means and its practicality. Is it achievable, and how does it come into play when...

3 Elo 20231h 37min

Chasing Dreams: The Highest Cost Of Pursuing Passion

Chasing Dreams: The Highest Cost Of Pursuing Passion

In this week's powerful episode of "Men, Men, Men - The Podcast," we delve into the raw realities of men's mental health. Join us as we sit down with Paul, a brave and determined individual who chose ...

20 Heinä 20231h 29min

Courage Amid Chaos: Hassan Tibwa's story

Courage Amid Chaos: Hassan Tibwa's story

Embark on a captivating podcast journey as we unravel the extraordinary life of Hassan Tibwa. Follow Hassan’s path as he sets out on a daring adventure, leaving Tanzania with the promise of studying i...

6 Heinä 20231h 28min

Masculinity, How to Harness Your Energy?

Masculinity, How to Harness Your Energy?

Welcome to a captivating episode of "Men. Men. Men – The Podcast" with your hosts Michael and Nadia.   In this empowering discussion, we explore the multifaceted concept of masculinity and delve into...

22 Kesä 20231h 41min

Suosittua kategoriassa Terveys ja hyvinvointi

unicast
rss-hanna-tikander
tiedenaiset-podcast
rss-pitaisko-erota
voi-hyvin-meditaatiot-2
vakeva-elama-viisaampi-mieli-vahvempi-keho
rss-narsisti
psykopodiaa-podcast
puhu-muru
junnut-pelissa
selviytyjat-tarinoita-elamasta
katilon-kahvitunti
paritellen
rss-sanelunpurku-podcast
terapiassa
rss-pt-paahtio
rss-kuumilla-aalloilla
rss-duodecim-lehti
meditaatiot-suomeksi
mielipaivakirja