
EP 03: Kenedy The Remedy Podcast - Mitandao ya Kijamii (with Apollo)
Mitandao ya Kijamii imekuwa inashika nafasi kubwa sana kwa vijana wengi na kuna mengi ambayo yanaweza kuzungumziwa na mtu akasikiliza na kujifunza mengi. Mada ya leo imejaribu kuchunguza mengi na kuta...
23 Aug 201916min

EP 02: Vijana wa Tanzania na Siasa za Mitandao
Katika dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii, kuna mengi sana yanaendelea kuhusiana na siasa. Pia vijana wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kujifunza mengi yanayojiri na kutoa uhuru wa mawazo...
1 Juli 201940min

EP 01: Mitandao ya Kijamii Imekaaje Kibiashara kwa Mwaka Huu? Nini kipya kwa Vijana? Swahili Podcast
Kwa mwaka huu kuna watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameongezeka, na watu wengi wanafikiria kufanya biashara zao na kuzikuza kutokana na uwepo wa mitandao hii. Je kwa vijana ni nini ambacho tuna...
17 Juni 20199min



















