
Tanzania Adapts: Utekelezaji wa sera na mikakati kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania
Kwenye Tanzania Adapts Podast wiki hii Marygoreth Richard anazungumza na Mwanahamis Singano Mwanahamisi Singano, Mtaalamu wa masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabia ya nchi na harakati zake zimejikit...
26 Jan 202331min

Tanzania Adapts: Kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Tanzania Adapts leo tunaangalia namna ya kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi mfano moto,matetemeko, vimbunga na mafuriko. Marygoreth Richard amefanya mazungumza na k...
19 Jan 202326min

Tanzania Adapts: Part 2 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia amebobea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. K...
19 Jan 202326min

Tanzania Adapts: Part 1 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia ameboea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kw...
19 Jan 20239min

Tanzania Adapts:Namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoleta athari ya upatikanaji wa maji Tanzania
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Alex Kisingo ambaye ni Profesor mshiriki kutoka Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mweka Tanzania tukijadili juu ya hii changamoto ya upatikanaji wa maji na nam...
19 Jan 202315min

Tanzania Adapts: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya ya uzazi
Kufuatia episode yetu iliyopita hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo yetu ya namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha athari kwenye afya ya uzazi kwa wanawake. Kwenye episode hii tumeenda mba...
19 Jan 202320min

Tanzania Adapts: Joto linavyoathiri afya ya uzazi na namna ya kukabili
Moja ya athari za mabadiliko ya tabia ya nchi ni joto kali. Katika episode hii Marygoreth Richard amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Doris Mollel kujadili namna...
19 Jan 202315min

Tanzania Adapts: Namna mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri afya yako
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya zetu kwa namna mbalimbali kuanzia chakula tunachokula kinachopatikana katika mazingira yetu kutokuwa na ubora unaotak...
19 Jan 202322min



















