Ep 28 - Fatherhood & Parenting
Men The Podcast18 Joulu 2020

Ep 28 - Fatherhood & Parenting

Moja kati ya vipimo vya mwanaume bora kwa watu walio wengi ni namna mwanaume huyo anavyobeba majukumu yake kama baba. Lakini baba ni nani? Kazi ya baba ni nini? Baba anatakiwa awe vipi? Nini kinamfanya mtu kuwa baba bora? Nimelelewa na baba bora? Mimi ni baba bora? Nataka kuwa baba bora? Nitaweza kuwa baba bora? Nini nifanye ili niweze kua aina ya baba ambae mwanangu anahitaji? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza pindi linapokuja suala la kuwa mzazi na suala la malezi kwa ujumla. Kitu ambacho tunakifahamu ni kwamba si rahisi hata kidogo kuwa baba na ni lazima kuwekeza muda, nguvu na rasilimali.

Togolani Mavura anazungumza na Michael pamoja na Nadia kwenye “episode” hii kuhusu nafasi ya baba kwenye malezi huku akitushirikisha uzoefu na ufahamu wake wa namna ya kua baba bora na ni kwanini ni muhimu sana kwa wanaume kupokea na kukumbatia majukumu yanayokuja pindi unapoanza kuitwa baba


Jaksot(112)

Maisha Siyo Nukta, Ni Koma.

Maisha Siyo Nukta, Ni Koma.

Life is not a full stop. It’s a comma.But for many men, it doesn’t always feel that way.In this episode of Men Men Men, we sit down with Sebastian Mwaikambo for a deep and honest conversation about ma...

14 Huhti 1h 47min

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

In this powerful live episode of Men Men Men, recorded in Monduli before an audience of over 200 people, we confront one of the most sensitive and deeply rooted issues in our communities: Female Genit...

18 Maalis 47min

Uwanaume Wa Kweli Ni Maamuzi

Uwanaume Wa Kweli Ni Maamuzi

In this special live edition of Men Men Men – The Podcast, hosted by Michael Baruti and Nadia Ahmed, a powerful community conversation unfolds from Mnazi Mmoja Grounds in Zanzibar, bringing together h...

17 Helmi 47min

Ni Majaribu Tu, Maisha Lazima Yaendelee

Ni Majaribu Tu, Maisha Lazima Yaendelee

Life works in strange ways. Sometimes adversity doesn’t just test us, it completely reshapes how we see ourselves, our purpose, and what’s possible.In this episode, we sit down with Hussein Ally Husse...

3 Helmi 1h 42min

2026: We Are Doing Better

2026: We Are Doing Better

We are baaaaaack and Happy New Year, 2026 The first episode of the year is finally here.This latest episode of MenMenMen The Podcast serves as both a curtain-raiser for 2026 and a moment of reflection...

15 Tammi 55min

Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani

Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani

Why does it matter for a man to feel valued and why does that validation seem to define so much of his identity?In today’s world, the demands on men are relentless. Society expects them to provide, to...

21 Loka 20251h 2min

Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?

Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?

One of the hardest things for anyone in the world is having the will, means, and ability to fight addiction, especially when that addiction seems to complement the lifestyle you’ve chosen, and society...

7 Loka 20251h 35min

Mimi Nilivyo, Natosha

Mimi Nilivyo, Natosha

In this episode of Men Men Men – The Podcast, we sit down with mental health expert and counselor Deo Sukambi to discuss key challenges facing men today, including trauma bonding, identity crises, and...

29 Heinä 20251h 39min

Suosittua kategoriassa Terveys ja hyvinvointi

unicast
tiedenaiset-podcast
psykopodiaa-podcast
voi-hyvin-meditaatiot-2
vakeva-elama-viisaampi-mieli-vahvempi-keho
rss-kuumilla-aalloilla
rss-pitaisko-erota
puhu-muru
paaasia-podcast
rss-kyykkya-ja-kuoharia
meditaatiot-suomeksi
fitnessvastaanotto
rss-nautinto
selviytyjat-tarinoita-elamasta
junnut-pelissa
rss-uplevel-by-sonja-hannus
rss-pt-paahtio
onnen-kuplia
terapiassa
rss-vapaudu-voimaasi