
Ep 44 - Cultural Transition, Cultural Shock & Re-Adjusting
Kusoma nje ya nchi ya Tanzania kuna mpa mtu faida nyingi sana ukilinganisha na ambae hatapata nafasi hiyo. Vitu kama ubora wa elimu na “exposure” anayoipata si vitu vya kubeza hata kidogo. Kwa wengi a...
8 Okt 20211h 32min

Ep 43 - The Modern Man and Generational Trauma
As we unravel today’s topic, we relive the fears of modern-day society as affected by the past experiences and history timeline itself. Well - That’s what we call “Mental work” and we at Men Men Men l...
23 Sep 20211h 31min

Ep 42 - Unmatched Mindset
Umeshawahi kutaka kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako unafahamu kwamba ni ndoto yako na unatamani sana kuitimiza ila watu wanaokuzunguka wasilione hilo wala kukubal...
9 Sep 20211h 20min

Ep 34 - To New Hobbies and Trying New Things
Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya yote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania Binadamu wengi sana hua tunaridhika n...
4 Sep 20211h 10min

Ep 41 - Finding your purpose
Kwa nini unaishi? Ni kipi ambacho unakitaka maishani? Ni kipi unachokithamini? Upo tayari kukifanyia kazi ili kukipata? Upo tayari kuachana na yale ambayo yanasimama katikati ya wewe na kufikia pale u...
26 Aug 20211h 26min

Ep 40 - My Time in Prison
Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake. Unahitaji nini ili uweze...
12 Aug 20211h 8min

Ep 39 - Men do communicate, differently
Wanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii n...
29 Jul 20211h 45min

Ep 38 - Ukweli kuhusu nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za kiume ni tatizo gani? Linaathiri wanaume wangapi duniani? Chanzo cha hili tatizo ni nini? Matumizi ya dawa za asili kama “Vumbi la Congo” na “Al Kasusi” ni kweli yanasaidia kutatua ...
15 Jul 20211h 11min



















