
Ep 37 - Seemingly perfect? Think again (Part 2)
If you were asked the following questions; do you think you have mastered the art/science of life and communication? What does conflict resolution in your relationship(s) look like? Do you think it is...
2 Jul 202156min

Ep 36 - Seemingly perfect? Think again (Part 1)
Look, Princely anaendesha kampuni nzuri inayofanya vizuri kibiashara, kampuni yake ilishinda shindano na wakapata hela nzuri tu ya kumwezesha yeye kuendelea kutimiza ndoto zake. Anaishi kwenye eneo zu...
17 Jun 20211h 1min

Ep 35 - Three Months Paternity Leave
Miezi mitatu ya likizo ya uzazi kwa mwanaume. Inaonekana kama kitu cha ajabu sana hata kukizungumzia, uongo au kweli? Can you imagine a man, a Tanzanian man to be precise taking three months paternity...
3 Jun 20211h 19min

Ep 33 - Blended Family, Fatherhood & Therapy
Moja kati ya mambo ambayo yapo kwenye jamii zetu ila hayazungumziwi sana ni namna ya kuweza kuwa baba bora na mume bora pale ambapo unaishi katika familia iliyochanganyika (Blended Family). Lakini ni ...
30 Apr 20211h 22min

Ep 32 - Unpacking The Man Box
“The man box” Hili ni box ambalo sio rasmi, na limetengenezwa na Jamii linalotumika kuchanganua tabia za mwanaume. Kwenye box hili kuna mazuri kuhusu wanaume, lakini pia kuna vitu ambavyo sio sahihi k...
16 Apr 202158min

Ep 31 - How Do You Move On From A Big Loss?
KIla kitu kilikua kinaenda vizuri sana kwa Gabriel, wakati akiwa anasoma chuo kikuu alibahatika kupata mwenza wa maisha. Wakajaliwa mtoto mzuri wa kiume, na baada tu ya kumaliza chuo wote wawili wakaa...
2 Apr 20211h 13min

Ep 30 - Lessons From My Father
Vuta picha, wewe ni kijana mdogo wa kiume, una miaka 7, unaishi na baba na mama na wadogo zako. Baba ni mwanasheria anayechipukia kwa kasi sana katika Serikali ya nchi changa ya Tanzania, mnaishi kwen...
12 Mar 20211h 20min

Ep 29 - Why men cheat?
We are back with a million dollar question, Why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? ...
19 Feb 20211h 12min



















