
Ep 28 - Fatherhood & Parenting
Moja kati ya vipimo vya mwanaume bora kwa watu walio wengi ni namna mwanaume huyo anavyobeba majukumu yake kama baba. Lakini baba ni nani? Kazi ya baba ni nini? Baba anatakiwa awe vipi? Nini kinamfany...
18 Des 20201h 14min

Ep 27 - Manhood & Masculinity vs GBV
Meet Mr Anders Sjöberg. Mr Sjöberg is the ambassador of Sweden to the United Republic of Tanzania. Today at the Men. Men. Men. Podcast, on episode #27, we have the honor of sitting down with him at hi...
4 Des 202041min

Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health
Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la ...
20 Nov 202054min

Ep - 25 - How Trauma Affected My Speech
Ally Abdallah, alimpoteza baba yake akiwa na umri wa miaka mitano. Baada ya hapo, maisha yake hayakua sawa tena. Ally alipata kigugumizi jambo ambalo lilimpelekea kua na ukuaji tofauti na watoto wengi...
6 Nov 20201h 6min

Ep - 24 - Becoming Your Own Man
Hebu fikiria, mzazi wako anakupeleka shule binfasi, tena ya gharama kweli kweli kwa ajili ya elimu yako ya msingi. Unafanya vizuri, unachaguliwa kwenda shule ya Sekondari halafu ghafla baba anarudi ny...
23 Okt 20201h 12min

Ep - 23 - Male Infertility
Kupata mtoto ni jambo la heri, kupata mtoto ni jambo la baraka. Binadamu walio wengi wanatamani sana kupata baraka hii ya kujaliwa mtoto LAKINI sio kila mtu ana uwezo huu wa kupata mtoto. Wakati mara ...
9 Okt 202047min

Ep - 22 - Life in the Public Eye
Una ndoto za kua maarufu nchini Tanzania? Una ndoto za kufahamika na kila mtu kujua jina lako, na sura yako kufahamika kila sehemu? Uko tayari kukabiliana na matokeo ya umaarufu wako? Unadhani Maisha ...
25 Sep 20201h 19min

Ep - 21 / Self Care/ The Value of Protecting Your Energy
Hakuna mtu aliyeletwa duniani akiwa anajua kila kitu, hakuna mtu ambae ni mkamilifu wa kila kitu na hakuna mtu ambae hastahili kukua na kubadilika (Evolve and Grow) Lakini kukua na kubadilika kwa mwan...
11 Sep 20201h 7min



















